Hii screenshot ya huyu dada imekaaje ?!

Wanawake wengi wanapenda mtu mwenye mafanikio, hivyo wanaoifahamu hiyo code wanatembea nayo.
 
Dah nimecheka sana aisee 😂

Ila wanawake mnazingua sana aisee, mwanaume akiwa mkweli amepoa mnamuona anaboa, Yn Nyie mnataka mwanaume muongo na mwenye purukushani 😂
 
Hakuna mwanaume mkweli kwenye kutongoza! Hapo hata elimu utadanganywa! Labda Umri tu ndo tunasema ukweli

Mwanamke usimwambie una sh ngapi benki ila anachotaka ndani ya uwezo wako mtimizie ni kwa sababu kuu mbili
1. Akijua kiasi ni Kidogo inakuwa mwanzo wa dharau
2. Akijua ni kikubwa hapo anakuwa extravagant!

Bora iwe kwenye pandora box! Cha msingi asilale njaa

Nyingine nawapa code

Mwanamke unapomtongoza kama una malengo naye mpe mipango ambayo unasikilizia ya muda mrefu yaan usimuahidi ntakutumizia hiki kwa week moja hapana ! Muahid jambo analoweza sikilizia hata miez 8 hadi Mwaka yaan uongo wako uwe wa kuonekana unafuatilia jambo fulan na vi feedback positive viwepo! Either mirathi 300M au kuna project mnafanya mnalipwaga kila baada ya miezi 6 Tena hela nyingi! Huku ukiendelea kudunduliza vihela vyako asilale njaa, Mwanamke ili kumpata Mdanganye, akija kugundua miaka imesogea miwili na mimba tayari au mtoto kabisa hana pa Kwenda 😀😀😀 na usiache akagundua mwenyewe yaan FAKE IT UNTIL YOU MAKE IT, ukishindwa hapo unamsanua kiujanja kwamba labda kuna loss au wamewabadilishia mikataba

Britanicca
 
Mallerina
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…