Mwache alee mimba labda atazaa mapacha 7 you never know wanaume wenye hekaheka hao wakfyatua yanatokaga matofali ya kutosha sio poaHapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
Unajua umepandisha uzi mara 2 aseeShida ni hali yao sasa
Kwani yeye nia yake ilikuwa ni kuwa na photographer au mtu anaempenda? Yaani huyo mwanaume bila u-photographer hafai kwake? Na alikubali kumvulia ili apewe kazi?5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...
6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....
Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
Maamuzi anayo mwenyeweView attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)
3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini
4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah
Wanaume sio watu ila sio wote
5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...
6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....
Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
Mambo Yao waache wenyewe watapambanaView attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano ata kwa wazazi wa mwanaume hapajui eti alimuahidi biashara hela zipo NMB nikamuuliza ameziona jibu lake hajaona ata mia...
( redflag)
3.leo kafungiwa mwanaume kaiba tv ya vitron🤣..mwanaume akipenda ata kuiba ataiba akuleteee
Kuna siku kaiba mchanga mgodini
4..dada ana mimba ....maisha yao ya kuunganisha ...dah
Wanaume sio watu ila sio wote
5..kamdanganya ni photographer mkubwa kumbe muuza ice tangu amekaa naye ata hajasuka ...
6.kamwambia atamtafutia kazi kumbe kaja kumpachika tikitiki🤰🏻.....
Hapa aleee mimba au atoe? Mimi sna uamuzi...
HahahaKwani yeye nia yake ilikuwa ni kuwa na photographer au mtu anaempenda? Yaani huyo mwanaume bila u-photographer hafai kwake? Na alikubali kuvulia ili apewe kazi?
Unamwambia mwanamke unampenda, anakuuliza kwani wewe ni photographer? Unajibu nini? Halafu swali la pili, nikikupa utanitafutia kazi? Utajibu nini?
Tv ya Vitron ya nchi ngapi 😅Shida ni hali yao sasa
Kama vile umeoteaUnakuta 43”
View attachment 3609987
Wasiwasi ndio akili.Maisha gani anayoishi ya wasiwasi
😆😆🤣Wasiwasi ndio akili.
Huyo Dada wakati anatongozwa qlijipa muda wa kimfahamu jamaa? Au good times zilimlevya? Dada zangu tumieni logic hata Kwa 0.05% kabla ya kuamua jambo. La sivyo Kila maamuzi yataweza waumizaView attachment 3609929View attachment 3609929maamuzi mengine kumpa mtu magumu....