Genetically, mtu mweusi ameumbwa na meno madhubuti kuliko mzungu. Tatizo lipo kwenye kutunza meno.
Meno unayoona katika picha za kizungu yote ni feki. Madaktari wana ujuzi wa kila aina kuanzia bleaching (kung'arisha) mpaka kutengeneza meno ya bandia (crown) kuonyesha kuwa actor ana meno "perfect" akicheka.
Ila, wao na wengine wana utamaduni wa kwenda kusafisha meno na kuziba viraka kila miezi sita. Sisi tunakwenda kumwona daktari jino limeshaoza. Wenzetu huko hawang'oi jino mpaka kila kitu kishindikane. Sisi tunang'oa kwa kuwa ujuzi hatuna.
Umeshaona wangapi wanavaa "braces" Tanzania kama katika picha chini kurejesha meno katika mstari?
View attachment 265461
View attachment 265462
View attachment 265464
(Teeth bleaching)