Hii sasa maanake nini!

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,462
64f0e46b7f0c09f2cac4603f991f0adc.jpg
 
Hii ni sehemu (ya tatu) ya swala na inaitwa RUKU.

Ukiwa katika position hii unasema:

Allaho Akbar (God is Great)
Halafu unasema:

Subhana Rabial-Azim (Holy is my Creator, the Magnanimous) mara tatu
 
Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangulizi wema mpaka Siku ya Mwisho.
Shukrani zetu za dhati kwa sual lako kuhusu kuswali na viatu vinavyovaliwa.
Hakika ni kuwa hata kama viatu hivyo vingekuwa vinavaliwa nje ya nyumba unafaa kuswalia maadamu ni twahara, havina najisi. Utwahara wa viatu ni kuwa vikavu.
Tufahamu kuwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) walikuwa wanaswali na viatu ambavyo walikuwa wanatembelea navyo ndani ya Msikiti. Na kwa ajili hiyo Mughiyrah bin Shu‘bah (Radhiya Allaahu ‘anhu) amesema:

“Hakika Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alitawadha na kupangusa juu ya champali na viatu vyake” (Ahmad na at-Tirmidhiy).

Na kauli yake Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) iliyopokewa na Abu Salamah Sa‘iyd bin Yaziyd aliyesema: “Nilimuuliza Anas (Radhiya Allaahu ‘anhu): Je, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alikuwa akiswali na viatu vyake”. Akasema: “Ndio” (al-Bukhaariy na Muslim).

Kwa hiyo, waweza kuvaa hivyo viatu hata ikiwa hakuna baridi. Na hata ikiwa umetokwa na wudhuu baada ya kuwa umevivaa ukiwa nao, huna haja ya kuvivua bali waweza kupangusa juu yake wakati wa wudhuu kisha ukaswali navyo maadamu kabla ya kuvivaa ulikuwa ushatia nia ya kupangusa juu ya viatu endapo wudhuu utaondoka na kabla ya kuvivaa uwe umetia wudhuu kwa kuosha miguu kabla ya kuvaa viatu.

Na Allaah s w Anajua zaidi
 
Hii ni sehemu (ya tatu) ya swala na inaitwa RUKU.

Ukiwa katika position hii unasema:

Allaho Akbar (God is Great)
Halafu unasema:

Subhana Rabial-Azim (Holy is my Creator, the Magnanimous) mara tatu
Na vipi kuhusu buti alizopiga hapo chini? inaruhusiwa hii?
 
Hii ni sehemu (ya tatu) ya swala na inaitwa RUKU.

Ukiwa katika position hii unasema:

Allaho Akbar (God is Great)
Halafu unasema:

Subhana Rabial-Azim (Holy is my Creator, the Magnanimous) mara tatu
Alaah kumbee,kwahiyo swala hiyo inaruhusiwa kuingia msikitini na viatu
 
masharti magumu kama maamuzi ya kiti cha naibu spika. haya bana na dini yenu.
Ukielewa kinachoendelea katika imani ya mwenzio (hata Free Mason, Khabalah, au Vudu) basi huwezi kuiogopa tena. Unaweza usiiheshimu au kutaka kuifuata hiyo imani, lakini inakuwa sio kitu cha kutisha tena. Imenisaidia sana kujifunza misingi ya imani nyingi hapa duniani. Jaribu kama una muda, just for kicks.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom