Hii Sapraizi imekaaje?

endelea kufuatilia tu background ya ujenzi wa hiyo nyumba kama una usalama
 
Naungana nawewe...

Hiyo nyumba waipangishe wajenge yao nyingine. Vinginevo hatakua comfortable na nyumba hiyo ya surprise
 
Kabla yayote muulize hati kaandika jina gani? Kama kaadika jina lake tu umeliwa kaka.
Mkuu mi sina tatizo na umiliki wa hiyo nyumba..Wala hilo halinisumbui..Swala ni kwamba mwanamke unayelala na kuamka nae deile hajakushirikisha kama kuna kitu kama hiki anafanya
 
Tafsir ya nyumba yenu ni ipi hapo mkuu?
Kiwanja mlinunua pamoja then akajenge yeye bila kukwambia au ikikamilika mtakuwa na hat ya pamoja
Au tafsir ya Nyumba yenu ni ina umiliki wake ila mtakaa pamoja?
 
Tafsir ya nyumba yenu ni ipi hapo mkuu?
Kiwanja mlinunua pamoja then akajenge yeye bila kukwambia au ikikamilika mtakuwa na hat ya pamoja
Au tafsir ya Nyumba yenu ni ina umiliki wake ila mtakaa pamoja?
Tafsiri ipo kanisani mzee. Mwili mmoja
 
Fuatilia ujenzi ulianza lini!!!
Sioni kibaya hapo mkuu!!! Nimeipenda hii sapraiziiii! Ntamfanyia hubby na mimi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…