Hii Sapraizi imekaaje?

Ilitakiwa ufurahie na sio kujiuliza, mpe hongera mwanamke mwenzangu.

Inaonyesha ana uwezo wa kusimama mwenyewe pasipo kumtegemea mtu, achana na wanaokupa mawazo mabaya sijui kajengewa mara sio yenu ni yake...hiyo ni ndoa chochote mtachopata ni vyenu wote wawili.

Nimeipenda hiyo suprise.
 
hatari sana embu tumsubirie tuone ataishia wapi
 
Ahsante mkuu
 
Hahaha hizo supraizi nadra sana kuzipata kipindi hiki!!!

kama unaona kweli ananguvu ya kufanya yote hayo peke yake ni jambo la kheri, msaport alipoishia mmalize wote..
Poa bro..Mambo vipi..Umekua adimu
 
Teh teh..Bikra Tz alibaki mmoja tu..Ndo huyo niliyemuoa..Hakuna mwingine
 
Hiyo nyumba ni yake sio yenu, hakukushirikisha tangu mwanzo kwa sababu hakutaka mshare katika hiyo nyumba
 
Ndio sawa amekusupraizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…