Hii Sapraizi imekaaje?

Kuna baba alijenga kwenye kiwanja cha mkewe, basi kila wakigombana mkewe anamwambia ang' oe nyumba yake amuachie kiwanja chake. Akili ilimkaa sawa akajenga kwingine wakahamia na ile wakaipangisha na kumkabidhi mkewe documents zote.
wanawake sisi ni wanyanyasaji sana asikupe kitu chake utajuta .... huwa hatusahau
 
Teh teh Sasa hiyo nayo Ni supraise????? Au Bomu la machozi.

Dada shemej hizo pesa tangu uanze kuomba naamini utamfanyia surprise ya ghorofa

Hata ya soksi tu simfanyii maana nahisi nitaumwa.
 
Mkuu kwa hili inabidi aje ajibu hoja hapa
 
Si wanaona mwanamke hawezi kujenga,tunaweza hata sisi jamani! kosa tu nikutokukushirikisha na hata kama ameandika jina lake shida iko wapi.
 
Kama unauwezo nawewe jenga nzuri na bonge zaidi ya hilo alafu na yeye mfanyie sapraiz ili huone kuwa atachukuliaje.mtazamo Wa wake Wa sapraiz yako ndo jibu la swali unalo tuuliza.
 
Sio kila kitu nikufanya saprice, hili ujenz angepaswa akujulishe mapema, ila yawezekana hua mnapeana saprice ata kwenye vitu vikubwa ila hakuna shida muongee muweke sawa vitu gan vya saprice na vyakushirikishana mapema
Ila ajue hiyo ni yake na nduguze! Asipojizatiti akajenga yake atakuja kuumizwa ikifika saa 10 jioni
 
Hivi kuna mtu ataongeza neno? Umemaliza
 
Mie angekuwa mke wangu surprise ambayo ningemfanyia inayoendana na yake ni kuwaleta nyumbani watoto wangu wanje wa nne kwa kina mama tofauti
 
Ha ha haaa umeshaolewa ww ....yaani kuna jamaa amekuoa ww na huyo mke wako.....amewaweka mkaishi pale....hakuna suprice ya hivyo acha ufala
 
tuliza akili wanawake wengi ni wabinafsi.mke mwema hanaye taka kiwe kimoja
 
..Binafsi nina mke na kuna mishe anzofanya baadhi nazijua but najua kwa kipato chake hawezi kuni surprise kwa kitu kinachozidi 5mil nikafurahi.

Point!

Kuna haja ya kucorrelate kipato cha my wife wake, wamekaa kwenye ndoa kwa muda gani na thamani ya huo mjengo. As much as ni jambo jema kuwa surprised na jambo kubwa kimaendeleo kama hilo, kuna haja ya kujiridhisha pasipo shaka kwamba a certain third party is not involved in the equation.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…