hii salute ya aina gani?


Mkuu 19don,mbona solute ya kawaida tu, si kama hii.
 
Last edited by a moderator:
JKT kwa hiyari. Tunaondoka tarehe 1 Machi,
Wale wa makutupora tuwasiliane kwa PM.
 
kwa ufahamu wangu salute hupigwa kwa mkono wa kulia sio kushoto

Na kwa ufahamu wako unaona tunavyoongozwa na hawa MAGAMBA ni sawa? kama ni sawa basi jamaa amekosea kutoa solute kwa mkono wa kushoto, kama siyo sawa basi na jamaa yupo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…