Hii ripoti imekaaje?

Hii ripoti imekaaje?

SULEIMAN ABEID

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
390
Reaction score
385
Ninavyoelewa aliyewasimamisha ni wizara siyo Chama cha Wauguzi Tanzania! Sasa wamepata wapi nguvu ya kutoa majibu kabla ya Waziri mwenye dhamana na Wizara husika?
---

Chama cha Wauguzi Tanzania kimebaini kuwepo kwa mgogoro binafsi kati ya watumishi wa Zahanati ya Ishihimulwa waliorekodiwa kwenye video iliyosambaa mtandaoni na kuwa kabla ya kuanza kurekodi, Mtekinolojia wa Maabara alikuwa amemtusi Muuguzi hali iliyofanya Muuguzi kughadhabika.

IMG-20230112-WA0065.jpg
 
Wanakimbia kichaka kwa nini kulikua na vifaa vilivyoisha muda wake
 
Shida sio kurekodiwa wala sio ugomvi binafsi. Shida ni VIFAA VIMEKWISHA MUDA WAKE yaani vime XPIRED
 
Mimi haingii akilini hata kidogo issue siyo kutukanwa na ule ugomvi haukuwa na dalili ya mtu kutukanwa ,hayo mme leta ninyi,msitake kumgeuzia dogo kibao
 
Back
Top Bottom