John Creasy
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 205
- 316
Utamaliza bucha maini ni yaleyale! Vile vile fundi asiye na ujuzi hulaumu vifaa vyake.Kwahiyo wameamua kuwafichia aibu Simba, kweli Simba mtoto wa TFF.
Utamaliza bucha maini ni yaleyale! Vile vile fundi asiye na ujuzi hulaumu vifaa vyake.Kwahiyo wameamua kuwafichia aibu Simba, kweli Simba mtoto wa TFF.
Viongozi wasio na maono wanahangaisha Wachezaji. Mashabiki wakupiga kelele nao wanaitika.
Weka ile picha ukinyonya vidole na macho yako mazuri hivi na nywele laini nimeimisi. Usimwite smart hapaWanakhakha sana