Hii puzzle Mungu angetutatulia tu

Hii puzzle Mungu angetutatulia tu

Kwa Asilimia nyingi ndivyo inavyokuwa.

MAPENZI mara nyingi yanakuwa ya upande mmoja
 
Nimpendaye hana habari na mimi
Anayenipenda hata ajitahidi vipi tena jitihada zake za kunifurahisha ndio naziona kero sasa

Mungu angerahisisha tu awakutanishe kwa urahisi wapendanao kwa dhati na si kwa sababu fulani.

Eeh Mungu twakuomba utusikie!
Kwanza thibitisha Mungu yupo na si hadithi za watu tu.
 
Jamani Kiranga ubadilikage basi na wewe miaka yote wewe ni hadithi moja tu umekomalia
Kabla hujafa atakuonekania na tafadhali usione aibu njoo hapa utujulishe.
By the way mimi najua kuwa unajua na unaamini katika Mungu na uwepo wake, kwa sababu he manifests deep inside your soul,la usingetumia hata sekunde ya muda wako wa thamani kutengeneza hoja, hizi humu ni sarakasi zako tu dearest Kiranga
 
Hujathibitisha Mungu yupo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom