hii promotion ya voda ipoje wadau

hii promotion ya voda ipoje wadau

nxon

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
1,162
Reaction score
408
eti Sasa Vodacom inakuwezesha kumiliki Simu ya kisasa ya Samsung Galaxy kwa Tsh 76,000 tu kwa mwezi!

naomba mwenye kujua inaopareti vipi hii?
 
Attachments

  • 155790_574666562557730_521652381_n.png
    155790_574666562557730_521652381_n.png
    29.3 KB · Views: 103
eti Sasa Vodacom inakuwezesha kumiliki Simu ya kisasa ya Samsung Galaxy kwa Tsh 76,000 tu kwa mwezi!

naomba mwenye kujua inaopareti vipi hii?

sijaiona hio offer ila hua inafanya kazi namna hii.

Hizo ni simu ambazo zinakua zinauzwa kwa mkataba badala ya kulipia hela kwa pamoja iwe yako unakua unalipa kidogo kidogo kwa mwezi kwa muda fulani. Hio hela unayolipia pia kunakua na vibando vya net+sms+call unapewa.
 
Mi nahisi mpaka upewe lazima uwe na chanzo cha mapato kinachoeleweka..
 
got you!
 
Mi nahisi mpaka upewe lazima uwe na chanzo cha mapato kinachoeleweka..

mara nyingi wanapewa watu wenye ajira za kudumu na sio wafanyabiashara wa kawaida. Sometime hela inakatwa juu kwa juu kwenye mshahara kama vile ilivo nssf au mashirika mengine ya pension
 
Uwiiiiiiiiiiiii,wakukopee mda wa maongez na simu pia hee hiyo nipige tafu nipege jeki eebhoooooo
**ncheke nna pengo miyee***
 
Nchi nyengine wanaweza na wanafanya hivo kwa sababu kila raia yupo kwene database na anajulikana anafanya nini na analala wapi. Bongo hii nadhani ili usitokomee na simu ya watu lazima wawe wamejiridhisha kama utawalipa fedha yao. Mara nyingi mkataba hua una conditions, ukivunja mkataba inabidi kuwalipa gharama ya kuvunja mkataba/
 
mara nyingi wanapewa watu wenye ajira za kudumu na sio wafanyabiashara wa kawaida. Sometime hela inakatwa juu kwa juu kwenye mshahara kama vile ilivo nssf au mashirika mengine ya pension

ok nimekupata....
 
Back
Top Bottom