Nyamkomogi
Member
- Mar 14, 2014
- 25
- 7
Nimepiga picha kwa kutumia simu yangu ya mkononi. Lakini hiyo picha imejirekodi kuwa imepigwa mwezi March 2200, Wakati nimepiga mwezi March 2025.
Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?
Nimeshindwa kuelewa imekuwaje?