Hii picha inawakilisha......

lol lol lol lol

mitanzania bwana ndio UTAMADUNI wetu huo....

mnanikumbusha mwizimiwa (mheshimiwa) sana waziri mkuu mfukuzwa bwana Lowasa aliposema ili nchi ipate maendeleo itabidi watu tujifunze Kichina ili tuendelee kama China, kwani tatizo ni nchi/lugha au mipango ya nchi/mtu husika?

acheni hizo bwana unaishi kwa kutegemea cha jirani??
 
Mkuu Indume Y,

Naomba kueleshwa uhusiano wa KISWAHILI na hii picha ya 1st Lady

?

Najua watu wengi wamekuwa wakimsema sana Festi Ledi wetu kuhusu Kimombo. Mie ninamsifu sana kwa kuliwakilisha Taifa letu pale anapokuwa anatoa Komentsi au hotuba kwa Lugha ya Kiswahili.

Tumeona viongozi wengi especially kutoka Asia hata EU wakiwakilisha nchi zao kwa kuongea Lugha yao.
Kwa hapa nampa Festi Ledi 10 kwa kuamini kuwa hapo kwenye miting alikuwa analamba kwa Kiswahilwaaa. Ndiyo maana nilisema Kiswahili Oooooyeeeee.
 
Back
Top Bottom