rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,446
Lowasa ni tumaini na yupo mioyoni mwa wapiga kura!!!!
View attachment 283614
View attachment 283614
Huyu Mtu Anapendwa We Acha tu. In fact the guy is our President to be.
Nyota ya utawala iko begani mwake tazama nilimuona aking'aa kama nyota huku watu wakimuangalia kwa matumaini, yuko mioyoni mwa watu, anapendwa mno mno huyu ndie Raisi ajaye.Lowasa ni tumaini na yupo mioyoni mwa wapiga kura!!!!
View attachment 283614
Inatufundisha kwamba ufisadi ndo dili. Ukiiba kuku au ukikwapua simu unapigwa na wananchi wenye hasira kisha unavishwa tairi shingoni, unamwagiwa mafuta ya taa halafu unapigwa kiberiti. Lakini ukiwa kingunge wa ufisadi na mpiga madili aliyekubuhu basi unaonwa kama shujaa wa jamii na kupendwa sana.Lowasa ni tumaini na yupo mioyoni mwa wapiga kura!!!!
View attachment 283614
Inatufundisha kwamba ufisadi ndo dili. Ukiiba kuku au ukikwapua simu unapigwa na wananchi wenye hasira kisha unavishwa tairi shingoni, unamwagiwa mafuta ya taa halafu unapigwa kiberiti. Lakini ukiwa kingunge wa ufisadi na mpiga madili aliyekubuhu basi unaonwa kama shujaa wa jamii na kupendwa sana.
Bado tuna safari ndefu sana ya kwenda ili kufikia mapinduzi ya kifikra. Siku ambayo fisadi moja litakamatwa laivu kisha kutiwa kiberiti mbele ya kandamnasi ndiyo nitajua kuwa safari yetu ya kwenda Kanaani ya kifikra imeanza. Mapenzi mahaba haya hayatatufikisha popote haya!