FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,776
mpaka JK ni dikteta.
Naam Julius Kambarage alikuwa Dikteta wala hujakosea.
mpaka JK ni dikteta.
Wewe unajua kwa nini. Kwani wewe umepata ujumbe ganiUkiangalia utaona kuna space between Rais wa Tanzania na Rais wa Kenya.Unajua kwanini?
View attachment 228731
Bendera 6, watu wa5, kuna nchi ina bendera 2
Mi dikteta ya Kiafrika imekusanywa pamoja, haina akili wala tafakuri.
Naam Julius Kambarage alikuwa Dikteta wala hujakosea.
Wakati mwingine unakuwa na utoto na ujinga sana
Ina maana ndio hujui kuwa wa kenya anakaharufu cha barovi na ngiba?Ukiangalia utaona kuna space between Rais wa Tanzania na Rais wa Kenya.Unajua kwanini?
View attachment 228731
Mi dikteta ya Kiafrika imekusanywa pamoja, haina akili wala tafakuri.
Sijakuelea kabisa FF!! Hadi JK kawa dictator tena mkuu?? Umeacha tabia ya kumlamba miguu, umeanza kumwita dictator??