Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,535
- 20,710
Nafac mbona zinafanana kwa wote..inategemeana na angle ya mpgaji
Exactly....equal sitting spacing, ni angle picha ilivyopigwa tu...!!!
Mleta mada nae, uchochezi tu, nothing else...!!!
Nafac mbona zinafanana kwa wote..inategemeana na angle ya mpgaji
Ukiangalia utaona kuna space between Rais wa Tanzania na Rais wa Kenya.Unajua kwanini?
View attachment 228731
Kwa Sababu hata JK kwa uwezo wake hana utambuzi sana wa mazingira yake....kwa wabishi jaribu mkumbuke alipojibu HAJUI KWANINI WATZ NI MASIKINI.Ukiangalia utaona kuna space between Rais wa Tanzania na Rais wa Kenya.Unajua kwanini? View attachment 228731
Yeah...yaweza kuwa ni Angle ..Ila wapuuzi wa JK nje ya nchi walipaswa kuwepo na kukagua in advance na kuweza pata tafsiri.JK kuwa mbali na mmojawapo ktk ya waliookuwa maadui ni wazi kuna walakini ktk mahusiano.Nafac mbona zinafanana kwa wote..inategemeana na angle ya mpgaji
Kwani wao ndio wanamilik vivutio vyetu..kutokuwa waangali ktk lugha za kujielewa kunadumaza na kuwafanya wadogo kwa kila kitu.Yaaani wakenya wametudelete kwenye utalii mpaka rais wetu wanamdelete kwenye picha. aibu
Bendera 6, watu wa5, kuna nchi ina bendera 2
Ukiangalia utaona kuna space between Rais wa Tanzania na Rais wa Kenya.Unajua kwanini?
View attachment 228731
JK mwenyewe anachafu tuu TZ.Hao manyang`au kivuli cha TZ ya Nyerere kinawatisha ila si JK.So akija mtu serious km Mkapa waki beep tuu na kuona majibu yenye akili basi watapotea kwa miaka kadhaa hadi aje kilaza mwingine.JK alichowatisha ni urafiki na marais w amataifa makubwa..ndio kinachowafanya pia wawe na mashaka km kweli ni kilaza km anavyoonekana au?So wanakosa pa kufanya upuuzi..TZ inawatisha..JK aeleweki ktk matukio makubwa ya kidunia.baada ya JK kuondoka sijui hao manyang'au wana plan gani nyingine
Nafac mbona zinafanana kwa wote..inategemeana na angle ya mpgaji
huwezi tafsiri malaria kwa kuangalia homa..ila kwa kuangalia mbu,na vidudu ktk damu.Kila rais anakaa mbele ya bendera ya nchi yake. Hiyo bendera ya kati ya Jk na Uhuru ni ya Eac ndio mana unaona hilo gap.
Ama JK ni careless km kawaida yake au Kagame km kawa anavyomdharau JK kiakili na kiustaarabu kaamua kutokaa nae.JK huwa si mwangalifu sana,ndio maana huwa siku zote hajui anaongea na kuishia wadhalilisha wapuuzi wake km Pinda.JK hana mawazo kabisa ktk hao marais.Wengine wanatafakari na pengine wanafikiri ni vipi watawazidi wengine ktk dili kwa manufaa ya nchi zake JK anachekelea umma.Ninachoona ni marais kukimbia kukaa mbele ya bendera za nchi zao isipokuwa JK pekee... Kama wangelikaa mbele ya bendera za nchi zao basi JK na PK wangelikaa karibu... Sasa sijui ni kwa nini marais hao wengine waliamua kukwepa kukaa mbele ya bendera za nchi zao!!!
Kila rais anakaa mbele ya bendera ya nchi yake. Hiyo bendera ya kati ya Jk na Uhuru ni ya Eac ndio mana unaona hilo gap.
sio kweli,kwamba kila rais kaka kwenye bendera ya nchi yake..!? angalia vizuri bila ya kupepesa macho.
huwezi tafsiri malaria kwa kuangalia homa..ila kwa kuangalia mbu,na vidudu ktk damu.