srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,270
- 4,182
Bendera 6, watu wa5, kuna nchi ina bendera 2
Bendera moja ni ya jumuiya ya africa mashariki
Bendera 6, watu wa5, kuna nchi ina bendera 2
Ungerudia nilichoandika ungekuwa na jibu. Microscope itaangali vijidudu vilivyopo ktk mbu wanaoaminika kuvyonza damu ya mmgojwa au damu ya mgonjwa .Pia ujue si lazima kupima kwa microscope...machine huwa zinapima full "blood picture" bila picture...yaani bila kungalia taswira.Utaona kwanini elimu zetu bila kuburwa huwa tunapotea kila mahali tunapoingia.Bila microscope utaishia kupapasa joto la kwapa.
Bendera 6, watu wa5, kuna nchi ina bendera 2
Ungerudia nilichoandika ungekuwa na jibu. Microscope itaangali vijidudu vilivyopo ktk mbu wanaoaminika kuvyonza damu ya mmgojwa au damu ya mgonjwa .Pia ujue si lazima kupima kwa microscope...machine huwa zinapima full "blood picture" bila picture...yaani bila kungalia taswira.Utaona kwanini elimu zetu bila kuburwa huwa tunapotea kila mahali tunapoingia.
Nilimanisha si vyema sana kumalizia vipimo ktk dalili au matokeo.Dalili na matokeo zitakusaidia kupunguza vipimo vya kupima(kwa vile utaanza na unachohisi kwanza) na si kukupa majibu moja kwa moja.Microscope ni njia moja tuliyozoea ila si lazima kuitumia.Wewe umesema bila yenyewe hakuna majibu.pengine utaona utofauti ambao unaweza uona km ulikuwa na haja ya kuwepo km ungefanya homework yao vyema.Lugha rahisi mara nyingine huwa burden km ubongo unfanya kazi fastor kuangalia uhasilia wa issue kuliko umaridadi wa lugha.Na mara nyingi huwa tunaishi jamii inayofanya assumption dhidi ya wengine.Huwa tunaamini wengine wanajua kusoma,wanajua lugha zetu, wana level sawa au zaidi yetu etc.Wakati mwingine jaribu kutumia lugha rahisi mkuu hiki kiswahili ni kipana sana. Huenda sentensi yako ilikua na maana yake uliyoiamini wewe lakini kwangu ina maana tofauti pia.
Kwa vile JK ndio anatafakuri hapo alipo?Sijui unapenda kurudi kinyumenyume kwa namna ngapi ila JK ndie pekee hayupo concerned na issues ambazo zipo mbele yaonje ya hilo jukwaa.JK ingekuwa kawini wengine wote ndio akawa na furaha kihivyo basi angekuwa na mwingine mwenye furaha,na kwa hapo si mwingine ni kabila.Mi dikteta ya Kiafrika imekusanywa pamoja, haina akili wala tafakuri.
Haha..kwa vile JK hajawahi kuwa concern na vitu serious.JK hajui nini ni serious ktk maisha yake.Ndio maana Jk hajawahi kuwa na kipaumbele kwa vile hajawahi ona tofauti sana ya vitu...wenzio wana vitu vingi sana ambavyo wapo concerned navyoNajua ukitoka hapo utauliza mbona wengine wamenuna JK pekee ndio katabasamu?
Ukiangalia utaona kuna space between Rais wa Tanzania na Rais wa Kenya.Unajua kwanini?
View attachment 228731
Bendera 6, watu wa5, kuna nchi ina bendera 2
Mi dikteta ya Kiafrika imekusanywa pamoja, haina akili wala tafakuri.
suti unazijua weweNaona JK ndie aliepiga SUTI ya bei ghali na chini kapiga MKWAJU ulienda skonga.KAMA HUTAKI ANDAMANA.
mpaka JK ni dikteta.Mi dikteta ya Kiafrika imekusanywa pamoja, haina akili wala tafakuri.
tanzania tutatengwa mpaka mbinguniPicha inaonyesha hali halisi.Kenya,Uganda na Rwanda ndo Afrika mashariki kwa sasa,Tanzania na Burundi wametengwa.