Hii picha inatufundisha kukiwa na mifumo mizuri ya elimu kama Kenya tutaweza kujikwamua kimaendeleo.PhD moja ya Kenya ni sawa na baraza zima la sasa la mawaziri wa Tanzania.Huyo mwanasheria pesa zote kazipata kihalali kabisa.Hii inadhihikisha ubora wa elimu ya Kenya tofauti na tz ambapo mwanasiasa mwenya pesa kuanzia bilioni mbili amezipata kiufisadi tu.