hii picha inasikitisha sana,mnooooooo

hii picha inasikitisha sana,mnooooooo

Serikali sijui kwa nini iliruhusu huu ujinga. Halafu siku Lissu aliposema they call you imperialist wakachukui tena, kana kwamba hawawaiti mabeberu
 
Hivi hamnaga jina lingine la kuwaita hawa wadhungu zaidi ya "Beberu"?
Maana hili jina huwa ukiliweka kwenye lugha ya picha inaonekana sisi ni mbuzi majike halafu wadhungu ni mabeberu hivyo wanatupanda nyuma kweli.?!
Mie hili neno silielewagi kabisa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aisee yaani bado tunachukua misaada ya MABEBERU,wanaosapoti ushoga,si tulikataa kushiriana nao hawa majaaa jamani?mbaya zaidi ni kutoka ujerumani ,nchi ambayo mzalendo Musiba alitutaarifu kwamba inasomesha magaidi ya chadema kupitia kwa balozi wake aliyepo hapa nchini
INASIKITISHA SANA,NIMESONONEKA.hata ambulance tunapewa na mabeberu wakati chi tajiri hii tena donor country?View attachment 1040925
Jeremiah kahangaika kutukana upinzani mpk kapata cheo
IMG-20190306-WA0003.jpeg
IMG-20190306-WA0005.jpeg
IMG-20190306-WA0006.jpeg
IMG-20190306-WA0002.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom