HII PICHA INANIKUMBUSHA MBALI SANA

johnsonmgaya

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,818
2,000
Kweli upendo wa mama haulezeki wala kupimika
d87f2c76f46f08d70ca278ccd6db86fb.jpg
 

Qsm

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
425
250
Jamani kina mama tunapitia mengi sana katika kuwatunza na kuwalinda watoto' mama atakuwa amechoka au anaumwa na Mshana ni mtundu kupitiliza inabidi aweke ulinzi wa kutosha ili akitoroka mama agunndue' Mama yangu upumzike kwa amani'
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom