Hivi ni kweli sababu pekee ya mwanamke kuwa chizi na kuchanganyikiwa ni pale anampata mwanamume anayejua kugegegeda vizuri sana halafu huyo mwanamume ni maskini hana helaWapi lisu na genge lake ?
Ni bahati sana kwa mwinyi,nilianza kuvaa miwani nikiwa na miaka 27 tu,hii ni hatari sana kwanguMwinyi na uzee wote hana miwani inaonyesha anazingatia ushauri wa afya sana.
Ww huwa zinakupendezaSuti hazojawapendeza
NdioWw huwa zinakupendeza
Tuma picha yako au unajiona ww mwenyewe na unasema umependeza huhhuhuNdio
Kwahiyo nyerere yupo hapo?Apo amekosekana Mkapa daaah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
RIP Benjamini William Mkapa
Maendeleo ayana Chama
Penda inchi yako kuwa mzalendo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
SawaKama kichwa kinavyo samaView attachment 1625853
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao Wenye Umri Mdogo Wote Wana Matatizo Ya Macho
Mzee Bado Yupo Vema Upande Wa Kuona!!![emoji3][emoji16][emoji23][emoji28][emoji1]