We nn ww kama huna,jibu tembea huko....
em kwenda hukoo umeshindwa kujibu unigac gac.Picha ya 3 row ya pili column ya 2 kushoto(jicho lako la kushoto) ukianza hesabu juu kushoto (jicho la kushoto linapoona) anaitwa CENTURION hebu gugo info zake!..Wenye uelewa tafadhari mnijuze kuhusiana na hii picha.
View attachment 716836
Yes,Naona kuna utatu hapo(3) namba kuu duniani na yenye siri nzito kuna wahusika wa anga,kuna wa ardhini pia kuna wa,majini....
Endelea kushikiwa akili kwa kusubiri mtu akulishe tafsiri yake kisha wewe uikariri!Umetumwa,ww embu peleka guu mbele huko...
Endelea kushikiwa akili kwa kusubiri mtu akulishe tafsiri yake kisha wewe uikariri!
Shughulisha akili yako, Mungu hakukupa hiyo akili ijaze tu hilo bichwa lako!!
mkuu una masimango,ila mimi nilichojua hapo ni kwamba kuns tawala tatu na kila tawala ina mbabe na mnyonge wake,sasa cjui kweli kuna milki3 yaani angani huko kuna waishio kama sisi...namuona saladin wa jully tax tuhapoWenye uelewa tafadhari mnijuze kuhusiana na hii picha.
View attachment 716836