ELI COHEN
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 9,376
- 28,495
Huyu wa kushoto amekaribishwa na huyu wa kulia katika nchi yake bila shurti ya maelekezo ya kufuata utamaduni wake na itikadi yake na baada ya muda atafanya maandamano kushinikiza tamaduni yake ifatwe ingawa yupo ugenini na kwa bahati yake nzuri atasikilizwa.
ILA,
Huyu wa kulia akienda kwenye nchi ya ya huyu kwanza hawezi kukaribishwa akiwa yuko hivi lakini pia hata pata uhuru wa kuendeleza utamaduni na itikadi aliyoacha nyumbani na akifanya maandaamno kuimiza ifatwe tamaaduni yake anajua atakochafanywa🤣
ALL IN ALL TUHESHIMIANE KWA TOFAUTI YA TAMADUNI ZETU MAANA TUMEUMBWA KUTEGEMEANA, HII NDIO ASILI YA UNIVERSE KIUJUMLA ILA ITIKADI ZETU ZINATUPOTOSHA.