Hii pekee ipo Rwanda


Kaka iko hivi, Rwanda SIO NCHI PEKEE ambayo Askari Wake (police, fieldforce nk) wanavaa nguo zinazofanana, DRC na Burundi Askari wote wanavaa Uniform za Blue kama hizo za Rwanda, utamtofautisha trafic kwa kikoti cha reflector tu,

Kampala kuna cover Kabisa
 
Kwa kuongezea tu:
Kigali ndio mji pekee ambapo Askari polisi/wanajeshi wanapokua patrol iwe ya mchana au usiku wanajihami kwa silaha na radio call kama wako vitani frontline tena porini. Na hawakai chini au kwenye viti.

Gisenyi-Rwanda ni mji pekee duniani ukiongea kiswahili cha kitanzania watu hudhani wewe ni mwanajeshi. Na kama wewe unapenda mademu unawapata kirahisi bila kutumia gharama kubwa.

Kigali-Rwanda ni jiji pekee Africa ambapo mwizi hawe kuiba na kukimbia zaidi ya mita 100 bila kukamatwa akiwa hai au maiti.

Rwanda ni nchi pekee dunianiani ambapo raia wote wa nchi za Africa wanaingia bila viza.

Rwanda ni nchi pekee africa ambapo sheria za nchi zinaruhusu kila mwanandoa kumiliki mali alizochuma kabla ya ndoa na iwapo wataachana mali hizo mali hazimuhusu mwenza wake.
 
Aah unajua huu uzi wakijanja bt pia wakikuda sana,unavichochezi vya ngono..
 
Hongera sana mkuu!! Vipi lakini hujasema kama ulifanikiwa kulala! na totos
 

POINT TO STICK: HUYO MUUZA VOCHA NI ASKARI KIKUKWELI NA SI MUUZA VOCHA KAMA ULIVYOMCHUKULIA
KUHUSU MAGODORO KUWEKEWA PLASTICK COVER KAMUULIZE JIRANI YAKO MAMA KOKU ATAKUAMBIA.
MAMBO MENGINE UKO SAHIHI SECURITY YA RWANDA NI 100% STAND-BY HUPENYI NGOME ILE UKAHARIBU HALAFU UKATOKA SALAMA NG'OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO. NIMEKAA PALE MWAKA JANA ILA SIKUPENDA HARRASSMENT WANAYOFANYIWA WAFANYA BIASHARA WADOGO NI SHIIIIIIDA ANGALIA SOKONI JIONI IKIFIKA UTALIA.
 
Ni kweli mitaani kote kunakuwa na askari kila baada ya mita tano? Basi Rwanda itakuwa na askari wengi sana.
 
Hiyo namba 3 umeshaambiwa kuwa hao wote koki zao pale kwenye antena zinafungulia bila uchoyo.
 
1. Rwanda itakuwa na askari wengi sana.

2. Yaelekea Kigali ina wakazi wachache sana. Kila mtu anamjua mtu fulani (kila mtu)?

3. Unamaanisha nini kusema kila raia anavaa nguo za kijeshi? Sasa nini kinatofautisha raia mvaa sare za jeshi na mwanajeshi halisi?

4. Hapa labda ungesema Kwa East Africa au Africa, lakini nina hakika ipo miji mingine duniani yenye sifa hii. Nimekaa mji mmoja US miezi zaidi ya sita bila kuona mfuko wa nailoni, karatasi, ganda la pipi, biskuti wala uchafu wowote barabarani au kwenye viunga

5. Duh! Wimbo wa Pressure wa mwaka 2007? Hawa jamaa walichelewa wapi kuusikia na kuusahau?

6. Mmh! Hii ngoja waje waseme wenyewe akina mchambawima1 na murutongore

7. Sasa ndugu ulitaka akuambieje? Au ndio ile tumeshazoea jibu la "wala, mimi wa kawaida sana, kwani haujaona warembo zaidi yangu..." ili upate pa kuendelezea?
 
Safi sana
 
Mpwa nauri plz na garama zipo?nijichange nisepe
Nauli mbona nyeupe tu! Elfu 80,000/= hadi 85,000/= maana naona hakuna nauli kamili isipokuwa makubaliano kwa basi la taqwa au Classic kwa nauli hii moja kwa moja hadi mjini Kigali ukitokea Dar es salaam. Safari na hawa jamaa ni bonge la adventure kwani kwanza unapandishwa la kwenda Bujumbura then wanakushushia benaco au Rusumo ambapo tena unapanda Matunda mpaka Rwanda kigali.

Safari haiboi saana maana unabadilisha usafiri moja hadi mwingine kwa tiketi ile ile ya awali mpaka mwisho Kigali.
 
Mleta mada umenikumbusha kwamba hawa jamaa hawajui kupika ila umenizidi ujanja mi niliogopa kuopoa mtutsi pale club kwa sababu askari wanakuwa wamevalia kivita kwenye maegesho ya magari na milangoni ila wenyeji wanakokota mitetea mbele yao bila woga, sasa umenipa mwanga ngoja tusubiri December inakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…