Hii pekee ipo Rwanda

Kwanini Mtz abafuatiliwa kuliko Mganda?
 
Hakuna kitu kinaniudhi kama hiyo lugha tena huandikwa na wasomi waliohitimu chuo, maneno kama Ongela badala ya hongera, ana badala ya hana, amisi badala ya Hamisi, Amisa badala ya Hamisa, apana badala ya hapana, hivi tatizo ni nini?
Wanaitwa wasomi wa Voda fasta ukikuta wanatokwa miPOVU kutambiana usomi utashangaa...kumbe hawajui chochote
 
Tatizo ni kubwa sana.
Mimi Jamii forum imenisaidia sana kuandika kwa staha na usahihi.

Mwanzoni nilikuwa naandika hovyo hovyo bila kufata kanuni na taratibu za maandishi, hivyo naamini kwa vile wamo humu JF na mmewakalia kohoni lazima wataboresha maandishi yao kadri muda unavyokwenda.
 
Una bahati haukuoa huyo BIBIE Wanyaruanda wenyewe hakuna changu labda katokea DRC au Uganda hiyo ni amri ukitembea na binri wao siku ya kuondoka unaondoka nae na pasi anapewa kabisa hiyo ni amri Vilevile speed ya juu kabisa kuendesha gari ni km50 kwa saa na kila baada ya km 10 kuna askari 2 wanakaa kila lane ya barabara siyo kujirundika sehemu moja kuchukua mlungula kisa cha magodoro kuwekewa plastic ni kukinga godoro na vikojozi walevi kwani ile ni dhahabu kwao yananunuliwa nje ya nchi likikojolewa haliwezekani kufuliwa na kukauka mvua kwao ni mwaka mzima wateja watakimbia hoteli kwa harufu mbaya nilifanikiwa kukaa miezi 2 Hotel Lapalise Kigali nilijifunza mengi nazuri nilisamehewa faini kwa kuvuta sigara hadharani kisa Mtz hata bodaboda zao lazima mteja uvae helmet vinginevyo hakuchukui pia hakuna rushwa mwizi wala kibaka nguo unalaza nje hadi zikauke au unaacha mlango wazi umesahau kwa ajili ya mishemishe mali zako zitabaki salama ila ukitembelea Rwanda genoside memorial centre ukamaliza mjengo wote bila kutoa chozi wewe ni mgumu tena sana kuna story za kusikitisha sana za mauaji ya kinyama kabisa kabisa huku duniani bora waendelee kuongeza ulinzi yasitokee tena na kutoaminiana ili wawe shwari siyo kama tz kuaminiana na kutojali usalama wako kwingi sana unaingia jengo refu kama Mafuta House bila kukaguliwa Rwanda hata sokoni utakaguliwa na kufuatiliwa tu tena bila kujua
 
Ndio sehemu pekee boda boda huvaa sare, namba mgongon, kuendesha taa inawaka hata kama n mchana, kuingia kwenye daladala kwa folen km ATM gari zote huonekana kuwa mpya sio km za buguruni, hakuna uchinga wa kuuza karanga,miwa, nk barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…