shamajengo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 1,217 Reaction score 1,433 Feb 12, 2017 #1 Wakauu hii PC nimekuwa nitumia mda mrefu ila ghafla naona spika moja haitoi sauti Mwenye ujuzi msaada hapo nini kifanyike Ili hata nikiwa naenda kwafundi nijue napeleka nikiwa najua shida ni kitu fulani
Wakauu hii PC nimekuwa nitumia mda mrefu ila ghafla naona spika moja haitoi sauti Mwenye ujuzi msaada hapo nini kifanyike Ili hata nikiwa naenda kwafundi nijue napeleka nikiwa najua shida ni kitu fulani