Yaliyomo YamoYaliyomo ndani?
Sasa mimi mfugaji hapanifai hapo best hahahahahahaha
Unafuga mifugo gani?Sasa mimi mfugaji hapanifai hapo best hahahahahahaha
We mwehu binadamu gani tena..?Natumia Freebasics hvy cjaona hy video ila hy nyumba nmeipenda sana ni ndoto ya kila binadamu kuishi humo
Watanitimua hao balaaaaUnafuga mifugo gani?
MI. Mwenyewe napenda sana kufuga natamani niweke na mbuzi ila banda bado sijaliaandaWatanitimua hao balaaaa