Hii nyimbo mpya ya Diamond ifungiwe

Kuna wimbo mmoja wa kikenya unaitwa SHAKE WHAT YOUR MAMA GAVE YA!
Ni shiddah!
 
Weka link ya wimbo huo au vivid source mtoa mada,blaa blaa tupu,hatupo bungeni apa
 
Sioni haja ya kufungia ngoma nzuri kama ile aisee, na ile mizigo safi sana
 

Hivi wee haujioni kuwa una kasorooo!
 

Well noted mkuu mijitu haina kazi

Kazi kujiita team ma.vi tu
 
Waifungie wapi?
Au ulikunywa bila kutikisa?

Siku nyingine fuata maelekezo kabla ya kunywa!
 
swadaktaar...
kuanzia mwanadilatu, kibugumo, geza ulole, samvula chole, msanga, manelomango, malumbo, masaki mpaka panga la mwingereza kote miuno feni...

mwanadilatu ni sehemu gani? Jirani na kijiji gani?
 
Wimbo mzuri sana. Ama kweli Diamond ni mfalme wa bongo fleva, Tanzania haijawai kupata msanii wa design yake tokea uhuru.

Juma Kilaza
RIP SALUM Abdallah
RIP Marijan Rajab
RIP Hemed Manet
RIP Tx Moshi William
RIP Maalim Gurumo
 
Video ni kali ila iyo video hayo mauno ni hatari,all in all kazi nzuri Chibu dangote.
 
Sema huu wimbo weka mbali na watoto mhh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…