TTCL Zile za mezaniHabar wakuu, hii no imenipigia ila siielewi ni no gani [emoji116]
+255222221505View attachment 2657329
ewe wapigie uwasomee kesiSasa ndo nini kunibip bip
Mkuu ulishawahi kucheza na bikosport basi wamekumiss mteja wao ata mimi nami walishanipigia wakiona account kimya haifanyi kitu chochoteSasa ndo nini kunibip bip
Landline tena namba za DarHabar wakuu, hii no imenipigia ila siielewi ni no gani [emoji116]
+255222221505View attachment 2657329
mbona namba ya landline (ttcl), ni mkoa gani huo?Habar wakuu, hii no imenipigia ila siielewi ni no gani [emoji116]
+255222221505View attachment 2657329
022 ni landline ya Dar es salaam.mbona namba ya landline (ttcl), ni mkoa gani huo?
Ofisini kwetu tunatumia landline, najua ninachoongea.