Si ajabu hana mtoto / mke hivyo huyo ndiye rafiki wa nyumbani! Angelikuwa na dependants-shangazi, mjomba, bibi, babu, watoto wa dada/kaka huyo nyama asingelikuwepo kweye sofa hilo!
Mbona kawaida tu Babu yangu kule Misungwi mbona bado anaishi na mifugo yake ndani ya nyumba.... Mang'ati mbona nao wanawabeba mbuzi, kondoo migongon?????
Mbona kawaida tu Babu yangu kule Misungwi mbona bado anaishi na mifugo yake ndani ya nyumba.... Mang'ati mbona nao wanawabeba mbuzi, kondoo migongon?????
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.