hii nini tena

huyo nae hajielewagi kabisaaa na mavazi yake....halafu siku hizi kakonda sana
 
Uwiiiiiii! umeshaniharibia siku mkuu
 
Hilo lingine litakuwa libwia masogange lol!
 
Beauty and the beast.......
 
ni akina nani kwani? naogopa ku-comment kwa watu nisiowajua
 
Uyo wa blue tayari kakaidaa malaria yetuu ileee
 
biashara matangazo waache watangaze biashara zao.
Nalog off
 
Nilisikia wa blue tayari gridi ya Taifa a.k.a Kihansi+Kidatu- sijui kama ni kweli!
 
Hakika dunia ya sasa walimwengu 2nakabiliwa na changamoto kubwa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…