Analake jambo huyo. Kwanini aipende ile harufu??? Angalia asije akasaidiwa na watu wengine.Anachong'ang'ania ni kwamba bora nimzoee tu mana siku nikiumwa lazima ni yeye tu atakayenisaidia, sasa ni bora tuzoeane kabisa kwenye hilo.
Sasa jamani mi siwezi kabisa nahisi kama GoGo halitatoka, yani mtu unakata GoGo halafu mtu akuangalie mi siwezi.!!!.