Na uajuza wangu huu siolewi tena ....teh teh. Kazi wanayo wasiooa na wasioolewa na wanaotegemea michango ndio waoe? Kwani lazima sherehe? Kafungeni ndoa mrudi nyumbani kuleni pilau na soda. Hata laki tano haifiki.Sijasema dustbin bali uchafubin ambalo ni kubwa. Piga ua utanitumia tu, tema mate chini tato
mtu nitakayemchangia ni ndugu yangu wa damu tu.