Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Huo mchango tu bado unasubiriwa kutoa zawadi.
Undungu ni kufaana na sio kufanana hujui atakaekuzika, kesho ni ndugu wa damu au lahNa uajuza wangu huu siolewi tena ....teh teh. Kazi wanayo wasiooa na wasioolewa na wanaotegemea michango ndio waoe? Kwani lazima sherehe? Kafungeni ndoa mrudi nyumbani kuleni pilau na soda. Hata laki tano haifiki.
mtu nitakayemchangia ni ndugu yangu wa damu tu.
Kufaana kwenye sherehe tu? Watu wanaumwa wanahitaji matibabu lakini kuchangiana ni shida. Watoto wanakosa ada za shule hatuchangiani. Nikihitaji mtaji laki 5 nifungue genge hakuna atakayenielewa nikipitisha mchango. msinizike..hata jiji litanizika.Undungu ni kufaana na sio kufanana hujui atakaekuzika, kesho ni ndugu wa damu au lah
Sherehe ni moja kati ya matukio muhimu pia katika maisha ya binadamu ni celebration watu wanakutana na kukonga mioyo haina maana isipewe kipaumbele eti kwa vile kuna matukio kama misiba au vifo hapana Tutengeneze usawa katika kufanya mamboKufaana kwenye sherehe tu? Watu wanaumwa wanahitaji matibabu lakini kuchangiana ni shida. Watoto wanakosa ada za shule hatuchangiani. Nikihitaji mtaji laki 5 nifungue genge hakuna atakayenielewa nikipitisha mchango. msinizike..hata jiji litanizika.
Huo usawa mimi ndio ninaouhitaji. Imagine mtu anabatiza mtoto au anabariki mtoto. Analeta kadi ya mchango. Na kwenye jamii zetu unakuta una kadi kama tano za ubarikio zinazofanyika siku moja...bado za harusi na sendoff. Kwa mwezi unaweza ukawa na michango hata minne au mitano.Sherehe ni moja kati ya matukio muhimu pia katika maisha ya binadamu ni celebration watu wanakutana na kukonga mioyo haina maana isipewe kipaumbele eti kwa vile kuna matukio kama misiba au vifo hapana Tutengeneze usawa katika kufanya mambo
INAELEKEA UNA MAAMUZI UNAJITESA ILIHALI UNAJIJUA ULIVYO KWANINI USITOE KWANI UMEKUWA MCHANGO WA MISIBAIla hapa ni kazini mkuu,
Ingekuwa mtaani INGEKUWA rahisi kuescape mkuu.
SAFI MDOGO WANGU UMEONGEA VYEMA ANAJILAZIMISHA KUTOA ILIHALI ANAJIJUANadhani kuwa muwazi tu kwao kwa upole na ninajua wataelewa hakuna haja ya kuji-stress juu ya hilo!
SAFI MDOGO WANGU UMEONGEA VYEMA ANAJILAZIMISHA KUTOA ILIHALI ANAJIJUA
kheeeeee yamekuwa hayo basi samahani sana ila mm ni mkubwa kwako ndo maana nikasema neno lile la "udogo"Unatafuta kutusiwa...udogo kwako umeutoa wapi????