mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 1,412
- 5,154
Mechi bado mbichi hii, mayahudi wanaenda kuifanya Tehran kuwa uwanja wa damu , vilio na simanzi
Huyo ni muajemi wa bonyoka!
Unataka kusema wajukuu ni hatari kuliko babu zao maana kile kipondo cha jana sio cha mchezoView attachment 3367816Hii ni Top layer ya Iran Israel imeshawauwa wote wapo kwa Allah, kabakizwa Ayatollah tu agent wa Mossad.
Hii video imeshtua wengi, Telaviv mitaaa imegeuka Kama Gaza.
This is worse than Ever
View: https://x.com/AlanRMacLeod/status/1933673107736105000?t=RNEkIJQhB9oaV0miCVMQMg&s=19
Subutu. Israeli alimuandamani muirani. Uwezo aliouonyesha muirani jana, aidhani kama atajaribh tena.Mechi bado mbichi hii, mayahudi wanaenda kuifanya Tehran kuwa uwanja wa damu , vilio na simanzi
Me sishabikii hayo mambo, nashangaa maripota weng wa hizi taarifa wanatoka tz ndio maana nkauliza pengne kuna mnalofaidika nalo...Kwani wewe u ananufaika nini na haya? Au wewe ni Muajemi wa Kitanzania? Si ungetakiwa kujiuliza hili swali wewe kwanza. Sipendi watu wanaoshabikia vitu vya kijinga huku wanaacha wanawake na watoto wakiteseka
Iran imeshambulia target ipi?Subutu. Israeli alimuandamani muirani. Uwezo aliouonyesha muirani jana, aidhani kama atajaribh tena.
Muisrael kabla ya kumshambulia muirani, alikuwa amejiandaa vya kutosha kwa ulinzi. Lakini alivyofanywa jana itachukua muda kuamini
Target ni IsraeliIran imeshambulia target ipi?
View attachment 3368202
Hii video imeshtua wengi, Telaviv mitaaa imegeuka Kama Gaza.
This is worse than Ever
View: https://x.com/AlanRMacLeod/status/1933673107736105000?t=RNEkIJQhB9oaV0miCVMQMg&s=19
Israel si kuna Waislamu? au Allah amebadili mafundisho yake siku hizi?Target ni Israeli
Hii video imeshtua wengi, Telaviv mitaaa imegeuka Kama Gaza.
This is worse than Ever
View: https://x.com/AlanRMacLeod/status/1933673107736105000?t=RNEkIJQhB9oaV0miCVMQMg&s=19
Tuliomsema vibaya Hitler. Tufanye hima tumuombe msamahaIsrael si kuna Waislamu? au Allah amebadili mafundisho yake siku hizi?
View attachment 3368220
Kumbe unafuatilia mambo mambo ya kivita ?Israel kuchakazwa ni furaha yangu 😎
Ngoja nitafuatilia zaidiHizo sio fake news bro.
Hizo video zipo hadi kwenye mtandao wa BBC.
Ni za kweli.
Mashoga wana tabu!!!Iran ni kama kichaa aliyeshika bunduki anapiga risasi hovyohovyo bila malengo.
We ngedere ndo umeandika nini hapa.Mashoga wana tabu!!!
Israeli ilipokuwa inashambulia makazi ya wanawake na watoto na kuangamiza majengo Gaza ilikuwa ni maelekezo ya roho mtaka vitu!?
Si kufuatilia tu bali pia nashiriki katika actual fightingKumbe unafuatilia mambo mambo ya kivita ?
Hakuna, amerusha tu vyuma hewani vitakae mgonga ndio mlengwa!Iran imeshambulia target ipi?
View attachment 3368202
Hii video imeshtua wengi, Telaviv mitaaa imegeuka Kama Gaza.
This is worse than Ever
View: https://x.com/AlanRMacLeod/status/1933673107736105000?t=RNEkIJQhB9oaV0miCVMQMg&s=19