Hii ni Telaviv? Kama Gaza!!

Hii ni Telaviv? Kama Gaza!!

Mechi bado mbichi hii, mayahudi wanaenda kuifanya Tehran kuwa uwanja wa damu , vilio na simanzi
 
Mechi bado mbichi hii, mayahudi wanaenda kuifanya Tehran kuwa uwanja wa damu , vilio na simanzi
Subutu. Israeli alimuandamani muirani. Uwezo aliouonyesha muirani jana, aidhani kama atajaribh tena.

Muisrael kabla ya kumshambulia muirani, alikuwa amejiandaa vya kutosha kwa ulinzi. Lakini alivyofanywa jana itachukua muda kuamini
 
Kwani wewe u ananufaika nini na haya? Au wewe ni Muajemi wa Kitanzania? Si ungetakiwa kujiuliza hili swali wewe kwanza. Sipendi watu wanaoshabikia vitu vya kijinga huku wanaacha wanawake na watoto wakiteseka
Me sishabikii hayo mambo, nashangaa maripota weng wa hizi taarifa wanatoka tz ndio maana nkauliza pengne kuna mnalofaidika nalo...
 
Subutu. Israeli alimuandamani muirani. Uwezo aliouonyesha muirani jana, aidhani kama atajaribh tena.

Muisrael kabla ya kumshambulia muirani, alikuwa amejiandaa vya kutosha kwa ulinzi. Lakini alivyofanywa jana itachukua muda kuamini
Iran imeshambulia target ipi?
FB_IMG_1749892176212.jpg
 
Iran ni kama kichaa aliyeshika bunduki anapiga risasi hovyohovyo bila malengo.
Mashoga wana tabu!!!
Israeli ilipokuwa inashambulia makazi ya wanawake na watoto na kuangamiza majengo Gaza ilikuwa ni maelekezo ya roho mtaka vitu!?
 
Back
Top Bottom