Hii ni Telaviv? Kama Gaza!!

Hii ni Telaviv? Kama Gaza!!

Ukweli ni huu, Israel ina hit serious target, haina issue na raia wa Iran, wajinga tu waliofungwa akili na Uislamu ndio hawawezi kuujuwa ukweli.

Na Saudi Arabia anakotoka mtume Muhammad ndio adui namba moja wa Iran.

IMG-20250614-WA0007.jpg
IMG-20250614-WA0008.jpg
 
Mbona unajijibu uliyouliza?
Au huelewi ulichochangia

Unauliza halafu unajibu
Kama hujui hii vita sio ya kidini bali maslahi ya kuwalinda Waarabu wa Middle East kwa Iran

Taratibu utaelewa kama Una akili lakini
Nimesema wapi ni vita ya kidini?
 
Back
Top Bottom