Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 2,197
- 3,912
mnaanzaga hivihivi baadae utasikia wanauwa watoto na akina mamaBasi na mzayuni ni mwehu alieuwa watoto 2000 na wanawake
mnaanzaga hivihivi baadae utasikia wanauwa watoto na akina mamaBasi na mzayuni ni mwehu alieuwa watoto 2000 na wanawake
Israel kuchakazwa ni furaha yangu
Kwani sisi tuna vita bongo ama wanaopigana ni jirani zetu?mnaanzaga hivihivi baadae utasikia wanauwa watoto na akina mama
Kwa sababu Israel wametuchapa wairaniMbona avatar yako hainoshi kama una furaha! You seem to be a very sad amigo!!
Tumepokea maoni yako..Endeleeni kujifurahisha, mlianzia Gaza, Mkaja Lebanon, Mkaenda kwa Asad , tupo Iran. Kote mlikuwa na matumaini na mlikuwa mnajipa moyo. Ivi huwa mnawaza nini? Yani pigo la siku moja limeondoka na top layer ya jeshi lote la Iran bado unaendelea kujisifu?
Nionyeshe viongozi wa hamas mliokuwa mnawasifia? Nionyeshe viongozi wa Hezbollah waliokuwa wananyanyua modomo? Nionyeshe viongozi wa juu wa jeshi la Iran. Yan kama siku moja tu inaondoka na layer ya juu vipi mwaka.
Tusishabikie vita. Iran hana intelijensia yoyote ya maana kuiharibu israel. Yeye anatupa tu mawe yasiyokuwa na mpango. Akae mezani asijepewa kichwa kama Saadam kumbe hola.
Vita ni pesa
Vita ni techolojia
Hii video imeshtua wengi, Telaviv mitaaa imegeuka Kama Gaza.
This is worse than Ever
View: https://x.com/AlanRMacLeod/status/1933673107736105000?t=RNEkIJQhB9oaV0miCVMQMg&s=19
Kwani wewe u ananufaika nini na haya? Au wewe ni Muajemi wa Kitanzania? Si ungetakiwa kujiuliza hili swali wewe kwanza. Sipendi watu wanaoshabikia vitu vya kijinga huku wanaacha wanawake na watoto wakitesekaTumepokea maoni yako..
Sasa ukiwa kama myaudi wa kitanzania unanufaika vipi na vita vinavyoendelea huko tehran?
Usibebe watu ufala wewe.Ukweli ni huu, Israel ina hit serious target, haina issue na raia wa Iran, wajinga tu waliofungwa akili na Uislamu ndio hawawezi kuujuwa ukweli.
Na Saudi Arabia anakotoka mtume Muhammad ndio adui namba moja wa Iran.
View attachment 3367813View attachment 3367814
Kulipiza kisasi kwa raia wao waliouawa na kushambulia kambi za jeshi za Israel.Lengo la Iran ni nini kwenye kurusha makombora?
Doh hamuwaonei huruma tu hao Israel?mnaanzaga hivihivi baadae utasikia wanauwa watoto na akina mama
Hizo sio fake news bro.Mkuu you better be serious,, bhana!!! Mbona picha zenyewe zimefifia hivyo!!?, Ni kama za mchongo yaani,,mi napenda mayahudi wapigwe,lkn haipendezi wala haisaidii kwa kuleta fake news!! Inasikitisha sana..
Kujifurahisha!Lengo la Iran ni nini kwenye kurusha makombora?
Hii video imeshtua wengi, Telaviv mitaaa imegeuka Kama Gaza.
This is worse than Ever
View: https://x.com/AlanRMacLeod/status/1933673107736105000?t=RNEkIJQhB9oaV0miCVMQMg&s=19