Hii ni supprise kwa nani?

Hii ni supprise kwa nani?

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,454
Reaction score
1,569
Baba na Mama walimtembelea mtoto wao wa kike alieolewa. Mtoto (mke) hakumjuilisha mumewe juu ya ujio wa wakwe zake. Alipika chakula kizuri akafika mumewe amsapprise. Mume lipofika wazee walifichwa ili mume awakute wakwewe wameketi mezani wanamsubiri kwa chakula. Mume kaingia chooni akaanza kuharisha na mashuzi makubwa makubwa huku wakwe wakimsikia ukumbini. Mama akamuuliza mwanawe hivi hii sapprise tumfanyie yeye au yeye anatufanyia sisi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom