Hii ni Style au Jamaa Alikosea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni Style au Jamaa Alikosea

Discussion in 'Jamii Photos' started by Ndallo, Aug 28, 2012.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 2. Papaeliopaulos

  Papaeliopaulos Senior Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 151
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijui kama huyo dada alipona kwa stail hiyo!
   
 3. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Mkuu inavyoonekana huyo mwanamke alikwisha muudhi kabla sasa jamaa akamtafutia sababu ya kisiasa ya kumuadhibu pasipo kujua. Na kwakweli amefanikiwa maana siku hizi ukimpiga demu Mama Salma JK na wadogo zake akina Kijo Bisimba wasijue wakijua umeumia.
   
 4. tatanyengo

  tatanyengo JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2012
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 1,140
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Alikosea akamtwanga ya shingo, dada akalamba sakafu.
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Aug 31, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Ndio shida ya kuingiza kong fu kwenye mziki.
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,325
  Likes Received: 2,626
  Trophy Points: 280
  hata angepatia...mkono wake wa kulia ungembamiza kunako korodani
   
Loading...