abeli tz
New Member
- Nov 30, 2020
- 4
- 14
Jamani wanaume wenzangu ulimwengu umebadilika sana kwa sasa, zamani ilikuwa tuvumiliane wakati wa shida na raha, siku hizi pesa kwanza mapenzi badaae, asije akakudanganya mwanamke eti anakupenda hivyo ulivyo. Hapana wanawake wa sasa wanataka mwanaume problem solver na yule wa kuafford matatizo yake.
Otherwise jua unasaidiwa kazi na vidume wenzako, kuanzisha mahusiano ya kimapenzi ukiwa huna hela ni kufanya scrub ya uso kwa pilipili iliyosagwa na kuchanganywa na maji, lazima ulie tuu, true love tuwaachie wenye hela sie wengine akina wasakatonge tutakuwa tunakata tiketi za kulia.