Hii ni siri nzito......

Status
Not open for further replies.

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
613
311
Wenzangu hii nibsiri mzito ambayo kila nikitafakari kwa akili za kibinaadamu sipati jibu.

Siri ya Namba7,

1. Mbingu 7
2. Wiki siku 7
3. Tawaf x7
4. Safa/Marwa x7
5. Jamarat mawe 7
6. Ajaib dun'ya 7
7. Milango ya moto 7
8. Shahada ina maneno 7
9. Takbira ya Eid x7
10. Idadi ya bahari 7
11. Idadi ya Continents 7
12. Idadi ya Surat Fatiha 7
13. Nyota zijulikanazo jina ni7

Naomba mwenye mtazamo wa kidini au kisayansi aniambie.
Hakika ya mungu ni mjuzi wa yote na sisi ni mali yake na hakiia kwake tutarejea.
 
pombe aina saba 1. chimpumu 2.uraka 3. Mnipa 4. komoni 5. kindi 6. myakaya na 7. Heinken kombora, hiyo ndo cri ya namba 7
 
Wenzangu hii nibsiri mzito ambayo kila nikitafakari kwa akili za kibinaadamu sipati jibu.

Siri ya Namba7,

1. Mbingu 7
2. Wiki siku 7
3. Tawaf x7
4. Safa/Marwa x7
5. Jamarat mawe 7
6. Ajaib dun'ya 7
7. Milango ya moto 7
8. Shahada ina maneno 7
9. Takbira ya Eid x7
10. Idadi ya bahari 7
11. Idadi ya Continents 7
12. Idadi ya Surat Fatiha 7
13. Nyota zijulikanazo jina ni7

Naomba mwenye mtazamo wa kidini au kisayansi aniambie.
Hakika ya mungu ni mjuzi wa yote na sisi ni mali yake na hakiia kwake tutarejea.

Sasa hapo siri iko wapi mkuu....mmmmmh
 
why a week has seven days..

The origin of the seven-day week is the religious significance that was placed on the seventh day by ancient cultures, including the Babylonian and Jewish civilizations. Babylonians celebrated a holy day every seven days, starting from the new moon, then the first visible crescent of the Moon, but adjusted the number of days of the final "week" in each month so that months would continue to commence on the new moon.
Source: Seven-day week - Wikipedia, the free encyclopedia

Oceans in the world; four or five depending on the answer even more but not seven

Stars.. there are millions of them hata mimi zipo nimeamua kuzipa majina ninayopenda mimi
 
Wenzangu hii nibsiri mzito ambayo kila nikitafakari kwa akili za kibinaadamu sipati jibu.

Siri ya Namba7,

1. Mbingu 7
2. Wiki siku 7
3. Tawaf x7
4. Safa/Marwa x7
5. Jamarat mawe 7
6. Ajaib dun'ya 7
7. Milango ya moto 7
8. Shahada ina maneno 7
9. Takbira ya Eid x7
10. Idadi ya bahari 7
11. Idadi ya Continents 7
12. Idadi ya Surat Fatiha 7
13. Nyota zijulikanazo jina ni7

Naomba mwenye mtazamo wa kidini au kisayansi aniambie.
Hakika ya mungu ni mjuzi wa yote na sisi ni mali yake na hakiia kwake tutarejea.

This is a proof that hayo mambo yalitengenezwa na watu kwa sababu Mungu hafungwi na namba wala ana uhusiano na namba yoyote ile
 
Kwa imani ya Kikristo na imani za Kishirikina pia namba SABA na NAMBA tatu ni namba ya ukamilifu, yaani kitu kikitajwa katika idadi ya saba maana yake kimekamilika na kimefikia utamati wake kwa hiyo hakuna modifications zozote...

Ni kama namba AROBAINI ni namba ya mpito yaani transition
 
Kwa imani ya Kikristo na imani za Kishirikina pia namba SABA na NAMBA tatu ni namba ya ukamilifu, yaani kitu kikitajwa katika idadi ya saba maana yake kimekamilika na kimefikia utamati wake kwa hiyo hakuna modifications zozote...

Ni kama namba AROBAINI ni namba ya moito yaani transition

nimependa ulivyochambua "LIKE"
 
kama unataka kujua mambo ya namba saba soma ufunuo wa yohana ndio utaona inavyotajwa. makanisa 7
vinara vya taa ya dhahabu 7
nyota 7
nk
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom