Hii ni Siri nimeitunza mpaka Leo

Hii ni Siri nimeitunza mpaka Leo

Huu sio uwana

We ni mnafiki maisha yangu huwa naomba nisipate wana wa hivi ...

Ova ... Mwana yupo side yako no matter what
Sema yule jamaa umfahamu vizuri yule jamaa ana hasira mbaya Kama angejua sizani Kama huyu demu angekuwa salama lakini pia sababu nyingine iliyonifanya nisimwambie ule demu katoka nae mbali sana kampenda mwana ikiwa jamaa Hana kitu nusu ya maali ya ndoa huyu binti ndo alimpa mwana ukiacha hivo Kuna kipindi jamaa yangu ilibidi aende jela au atoe faini ya mil 15 but huyu binti ndo akatoa hiyo faini alafu Leo I we rahisi rahisi tu waachane kwa sababu ya hiyo tu?labda kosa langu ni kutomuuliza huyu demu sababu ya kuchepuka ingawa anapenda Sana jamaa yangu ndo ningekuelewa ila soon nitamuuliza.
 
wana hatupo hivyo mzee

Ungekua na hekima ungewsfuata wale wana wengine mwongee nao mwone inakuaje broh

Siku nyingine usiwe hivyo broh
 
Kwa hiyo wewe unataka waachane?
We jamaa tafuta negotiation kama ikifeli

Utawapoteza wote yeye na demu

Hakuna kitu kinauma kama mke kuchapiwa

Wakishindwa ku negotiate waache waachane na jamaa ajue

Hafu kitu cha kingese sana unafanya vipi huyo demu akileta ukimwi ndani

Broh unafeli sana !
 
Very true, dawa bado haijapatikana. nadhani mtoa post angeongea na happiness "kama" akimueleza shida ilipo ataweza kujua jinsi gani ya kuongea na rafiki yake ili kumtuliza happy wenge, unaweza ukute ni jambo dogo sana.
Ok nitaongea nae
 
Ungemkumbusha gunia mbili za mkaa, angetulia.

Pia ungedadisi chanzo cha Happy kuchepuka.
 
Niliwahi kumwambia mskaji wangu kuw demi wake anapandwa nje,yaliyonikuta..

Nikasema hata demu nikikuta live analiwa ntakausha kimya,hata demu nilimwambia awe free,sitakuja kuongea tena..

Demu hadi Leo analiwa kama kawa
We jamaa tafuta negotiation kama ikifeli

Utawapoteza wote yeye na demu

Hakuna kitu kinauma kama mke kuchapiwa

Wakishindwa ku negotiate waache waachane na jamaa ajue

Hafu kitu cha kingese sana unafanya vipi huyo demu akileta ukimwi ndani

Broh unafeli sana !
 
H
aya mtombe tu huyo happness si ushajua shemeji yako ni malaya, unasubiri nini??
 
Hamna siri tena ndo tushajuaa sasa mpaka mabaharia😂
 
Back
Top Bottom