usilaumu wanaume-kumbuka huyu cheo ndio kimemcost haya yote-si wanaume,Nazjaz
Pole sana,,,,,,,,,,,,,,,,,,,wanaume wengine utu zero. Yaani Duh,,,,,,,,,,,,,ila take it as a lesson. Next time dont let the need or greed for material things be it job or anything else overshadow heshima yako na utu. Also if you still are having difficulties reconciling and forgiving yourself try to seek counselling so you can move on.
usilaumu wanaume-kumbuka huyu cheo ndio kimemcost haya yote-si wanaume,
kutoa ushuhuda mbele ya watu inaweza kumuia ngumu-kama ameweza kuzungumza hapa-itampa relief kwenye msongo wake wa mawazopole sana kwa yaliyokukuta, natumaini umejifunza jambo flani hapo. Mi naona bado hautakuwa umepona vizuri juu ya matatizo ya kisaikolojia kwani umetuambia sisi ambao hata hatukujui wala hatukufahamu vizuri, ni vyema kama unataka hiyo kitu uiondoe kabisa akilini mwako unatakiwa utoe ushuhuda huo mbele za watu face to face na sio kupitia mtandao kama ulivyofanya, pole sana.
tuna-take advantage pale tunapoona mabinti wanajipeleka huko wenyeweLakini ni kweli, wanaume wengi tuna take advantage kwenye matatizo ya mabinti
Nazjaz anawakilisha wanawake wengi katika ajira ambao aidha wamepata cheo na marupurupu ama wamekataliwa yote hayo kwa sababu ya mahusiano "mazuri" au "mabaya" na mabosi wao hao.
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo. Watoto wetu wa kike tuwafundishe kujiamini na wa kiume tuwafundishe utu. Ni wangapi hapa hatuwezi kufanya aliyofanya Nazjaz au bosi wake?
Ndo maana King'asti kamwambia matatizo yake ni deep rooted, hata ukimwambia leo aache hataacha. Inakuwaje una akili na umesoma na unatoa mwili wako upate cheo? To hell with it...hicho cheo na kikupite utapata kingine.
Halafu kwa systems za UN, wewe Nazjaz umejitakia. Si ungemlengesha tu huyo bosi afukuzwe kazi? Hastahili wala kuwepo kazini huyo. Shame!
Watoto wajue tena hata wa kiume waache kupenda vya bure waheshimu utu wao. Ebo!