Hii ni siku ya harusi

Bwana harusi amekosea saaaaaaaaaanaaaaaaaa....kwanza ameniudhi
 
Bwana harusi ataweza kudumu kweli? Kama mambo yenyewe ni hivi!

Ana bahati sana bibie hajastukia mchezo, vinginevyo pangechimbika sana
 
Ndio tabu ya kufunga arusi wakati mechi zilianza siku nyingi!
 
Hapo Bibi harusi alipaswa kumwambia bwa harusi,
"bwana angalia unako enda au nenda unako angalia"
​
 
Bwana harusi ataweza kudumu kweli? Kama mambo yenyewe ni hivi!

Ana bahati sana bibie hajastukia mchezo, vinginevyo pangechimbika sana
Itadumu ila kwa dhahama,mikwara na kununia siku nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…