Hii ni siku ambayo nilidhalilishwa sana kwenye Kadamnasi. Sikuwahi isahau

Draft nalijua haswa kulicheza ila pakitokea mtu anayeongea sana huwa nabakia kuwa mtazamaji maana uvumilivu kwangu ni ziro..... By the way mliokutana na shombo za draft mmenifanya nicheke kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa alinisimulia kuwa mara nyingi alikuwa anamuona baba yake akienda kwenye vijiwe vya bao lkn hakuwahi kumuona akicheza bao pale.

Siku moja alimuuliza baba mbona sikuoni ukicheza bao pale, akajibu kuwa yy anahasira sana hawezi kuvumilia matani yanayotaniwa pale kwenye mchezo.
 
Nlishawahi kuona jamaa kamng'ang'ania mtu shingo watu wanapambana kumwachanisha....nakuja ambiwa chanzo ni draft jamaa aliambiwa anapenda sana kufumuliwa malinda maana anapigwa mabao hakati tamaa anategesha tena makalio kama anavyofanyaga mkewe...hapo jamaa alishindwa vumilia.maana mshindi alikuwa anasema mimi ndo dume la mbegu ntawapanda familia yako yote ....mkeo na leo wewe nakuona ulivyo mtamu. Hapo jamaa alimrukia jamaa shingoni....

Draft nalijua haswa kulicheza ila pakitokea mtu anayeongea sana huwa nabakia kuwa mtazamaji maana uvumilivu kwangu ni ziro..... By the way mliokutana na shombo za draft mmenifanya nicheke kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nlishawahi kuona jamaa kamng'ang'ania mtu shingo watu wanapambana kumwachanisha....nakuja ambiwa chanzo ni draft jamaa aliambiwa anapenda sana kufumuliwa malinda maana anapigwa mabao hakati tamaa anategesha tena makalio kama anavyofanyaga mkewe...hapo jamaa alishindwa vumilia.maana mshindi alikuwa anasema mimi ndo dume la mbegu ntawapanda familia yako yote ....mkeo na leo wewe nakuona ulivyo mtamu. Hapo jamaa alimrukia jamaa shingoni....
Duu hapo labda moyo wa jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kama huo mchezo unahamasisha sana sodomisation? Maana matusi ni hayo hayo tena kwa wazee na vijana.Astaghafirulaaah
NI KWASABABU WANACHEZA WANAUME KWA WANAUME ZAIDI, NA NIA KUBWA YA MPINZANI WAKO KWENYE DRAFT NI KUKUUDHI ILI UPANIC NA UTOKE MCHEZONI, NA UKITAKA KUMUUDHI MWANAUME NI HAPO KWENYE KEJELI ZA MATUSI YA SODOMISATION.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom