mzabzab unanitia mashaka kwanza wewe ni mwanaume/mwanamke?
na je umeoa au umeolewa?
maana afadhali apige honi bila kufoka, mtu anakupigia honi huku anafoka na keshamwambia mlinzi afungue geti anaanza kutoka kwa hiyo mm nitoke ndani nakimbia kama mtoto kulikimbiza gari. hiyo ni sawa? usiseme kitu kabla hakijakukuta.
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.
Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? 😡😡😡
habari za asubuhi

Naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? Ivi hii ni haki! Hamjali yoooote tunatowafanyia, au hiyo ndiyo asante yenu? 😡😡😡
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.
Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? 😡😡😡
acheni zengwe lenu nyie, hamtofautiani na wale wanaolalamikia mfumo kristu kila kukicha! sasa we umekuja na mfumo dume, na mtoto anakuja na mfumo viboko, na baba anakuja na mfumo chu.pi!! ha ha kaaazi kwelikweli
unataka kuhoji mpaka majukumu yako, mbona hulalamiki unapopata mlo wa kila cku, najipinda mwenyewe kutafuta mkate wa familia, unakula mpaka unalala unajamba kama mke wa yule mshkaji wetu, watoto wanakwenda shule, we mwenyewe unavipodozi kama duka la urembo, mshahara wako cjawahi kuulizia, yet u re complaining. fine, acha niwe naingiza vyombo, niingie na jikoni, nioshe na watoto then wewe take care of the family needs
hatuendelei kwasababu tunatafuta majibu ya matatizo yetu kwa wenzetu, yaani siku zote tunaona wenzetu ndiyo tatizo so tunaishia kulaumu pasipo kujitafiti ndani. ni wajibu wako kuhakikisha nyumba inakuwa katika muafaka, na niwajibu wake kuweka kila kitu sawa
play your part, i do mine, life becomes sweet
WIMANA sina ukorofi wowote , kuwa na house girl na mlinzi si sababu ya mm kutofanya kazi zangu ambazo napaswa kufanya, mm sikulelewa hivyo unavyofikiri kuwa kila kitu namwachia housegirl, mm nimelelewa kufanya kazi zangu kama mama mwenye nyumba.Kaunga, Lisa ana ka-ukorofi fulani. Anaye house girl na Mlinzi na bado anachelewa na kumlaumu mumewe!
Pole sana Lisa, wanaume ni wa kuwachukulia poa sana sikuhizi, habari ya kuendelea kuwalilia na kuwaridhisha haipo tena. Wanaume ni kama tumbo huwa hawashibi wala hawaridhiki chochote utakachofanya kwao watataka tena na tena. Pole na umzoee tuu na saa nyingine huwa anajisikia tuu kukudhi na ukikasirika anafurahi kwasababu anajua utakunja sura siku nzima na hakuna mwanaume mwingine atakayekutaka ukiwa umenuna. Muweze kwa kutokukasirika kila anapokuudhi utaona anachukia yeye. Ukiweza kila mtu awe na usafiri wake itasaidia kuepusha kero ndogondogo. Ndoa ni kama kucheza marede, mpira ukija ujue jinsi ya kuukwepa ili ucheze hadi mwisho, machejo yanahusika lol. Rede ya wote jigija, kama hutaki ambaa, hapa unacheza usidalikwe tuu na mpira lol. All the best mamii.
Solution to a good marriage is two tvs and three cars.
I hate waiting, hizo habari za kumpikia chai, sijui nini siyo ruhusa za kufanya akusubiri hapo nje. Keep time wewe ni mtoto wa kiafrica acha habari za kushindana utakuja letewa small house bure. Kikubwa ni kwamba you should know your man better, ikibidi jitahidi uwe unakuwa wa kwanza kutoka.!
Pole sana Lisa, wanaume ni wa kuwachukulia poa sana sikuhizi, habari ya kuendelea kuwalilia na kuwaridhisha haipo tena. Wanaume ni kama tumbo huwa hawashibi wala hawaridhiki chochote utakachofanya kwao watataka tena na tena. Pole na umzoee tuu na saa nyingine huwa anajisikia tuu kukudhi na ukikasirika anafurahi kwasababu anajua utakunja sura siku nzima na hakuna mwanaume mwingine atakayekutaka
lol, hapo nilipobold, nimejifunza kitu, thanks mamy!!!!
Ndoa ni kama kucheza marede, kweli tupu, nimejikuta natabasamu hapa
Tatizo ni kwamba wanawake wamezidi kutuweka. Once in a while for anything haina shida, shida ni hiyo kitu kuwa desturi.a point worthy noting!wish mtu mmoja hivi angesoma hapa aisee.i always ask ''kwanini tu usiwe mwanamke....pamoja na kila ulicho nacho kama mafanikio maishani!!?''
lakini pia kaka,wka kesi ya dada yetu Lisa,nadhani muungwana(shemeji)pia anakosea sana,muonyeshe kwamba unajali na kuona kila anachofanya for you and family.kwani hata wanataka makubwa hawa basii??!sasa la kuwasha gari kabisa halafu geti wazi unaanza kuondoka....kwakweli hata mi siwezi jisikia poa kukimbiza gari linalotoka nyumbani kwangu(asante Mungu mimi sio mwanamke!).
pia Lisa kupata sympathy hapa sio dhambi waungwana...kama anaweza kimbiza gari linalotoka nyumbani kwake,akiwasilisha ishu kama hii kwa namna ya kupumua kama hapa mnadhani itakuwaje?hapa kapata sympathy na solution,nyumbani ataenda kutekeleza tu!i love JF.
Yakiletwa mema hapa mtandao utaelemwa. Na mara nyingi habari mbaya zinauzika zaidi kuliko mbaya.