Mmh mbona kila siku ni post za matatizo ya ndoa 2?sijawahi ona uzi uloletwa kuonyesha mema na raha ya ndoa,hv ndoa ni matatizo tu?mbona mwatutisha tulio single?
Bado hajakukwida usiku kucha
acha nile maisha mie
naamka zangu huyooo bafuni ....
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.
Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? 😡😡😡

sawa tu we kula maisha. lakini kumbuka una deni kwa MUNGU alisema zaeni mkaongezeke,.. utamuacha mama na baba yako utaungana na mmeo nanyi mtakuwa mwili mmoja!Bado hajakukwida usiku kucha
acha nile maisha mie
naamka zangu huyooo bafuni ....
pole sana dada lisa, mmeo nadhani ana tabia hiyo kutokana na maisha aliyokulia. kazi za nyumbani ni noumer, zinachosha balaa. inawezekana hajawahi kuishi geto peke yake akafeel kazi hizo.hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.
Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? 😡😡😡
We kwanini ukae kwenye dressing table masaa ma3?
Unajipamba kwa ajili ya nani mwingine?
Solution to a good marriage is two tvs and three cars.

Na bado unalala hoi unashindwa kufanya kung fu moves kitandani daily. Unaletewa small house manake unaambiwa humridhishi. Kuwa mwanamke ni ajira tosha. Najichubua hapa nitafute lace wig niwinde muarabu mwenye kisima cha mafuta nianze kukaa home kutwa kama natalia mie!