hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.
Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? 😡😡😡

we kwanini ukae kwenye dressing table masaa ma3?
Unajipamba kwa ajili ya nani mwingine?
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.
Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? 😡😡😡
we acha tu ! Tena unaweza ukawahi kuamka hivyo ukirudi chumbani ili uende ukaoge anakurudisha kitandani uumpe cha asubuhi halafu ndiyo ukaoge ! Lkn bado anakuuliza ulikuwa wapi saa zote? Kwa kweli nimekasirika sanana bado unalala hoi unashindwa kufanya kung fu moves kitandani daily. Unaletewa small house manake unaambiwa humridhishi. Kuwa mwanamke ni ajira tosha. Najichubua hapa nitafute lace wig niwinde muarabu mwenye kisima cha mafuta nianze kukaa home kutwa kama natalia mie!
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.
Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? 😡😡😡
naomba nikuulize swali na wewe unafanya kazi au ni mama wa nyumbani??

Angekuwa mama wa nyumbani, angepigiwa honi ya nini?
Bahati mbaya sana Lisa kamvua mmewe nguo hadharani hapa akijiaminisha wanaume wote tuko hivyo.
Si mambo yote ya kuleta humu jamani, mnadhalilishana tu. Mambo kama haya ni ya kukalishana kitako na kuwekana sawa. Ni vijimambo tu hivi!
Ni mimi ODM nawashaurini wakati nikirejea mapangoni Torabora.
Pole sana lisa,kuna baadhi ya wanaume hawajitambui,asikwambie mtu saikolojia ya mwanamke ni nyepesi sana
mpende,mbembeleze,mjulie hali,mawasiliano mazuri,mpe pole kwa kazi ngumu na nyepesi then payback yake you wont believe!
na ndoa itakuwa poa sana!!thread kama hizi hatutaziona tena humu